Sunday, February 12, 2012



Msanii wa filamu Bongo asiyeishiwa na matukio, Wema Sepetu amenunuliwa gari la kifahari na ndugu zake huku ikidaiwa kuwa ni pongezi kwa kuachana na mchumba wake, Naseeb Abdul ‘Diamond’.

Wema hivi karibuni aliliambia Risasi Jumamosi kuwa, gari hilo la shilingi milioni 35 aina ya Toyota Lexus lenye namba za usajili T 211 BXR, amenunuliwa na mama yake pamoja na ndugu wengine kufuatia kufurahishwa na uamuzi mgumu aliouchukua.

1 comment:

  1. akipenda amependa vyote miguu mpaka kichwa ila akiacha ameacha mazima. sasa tuone sasa kama msemo wake ni kweli alikuwa anamaanisha,..........

    ReplyDelete